Instagram Lite

3.8
Maoni 2M
500M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 12 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Instagram Lite kutoka Meta ni toleo la Instagram ambalo ni la kasi na ndogo. Imeundwa ili kufanya kazi vyema kwenye mitandao inayoenda polepole, inatumia data kidogo ya simu na kuchukua nafasi ndogo ya hifadhi kwenye simu yako, Instagram Lite inafanya iwe rahisi kukuleta karibu zaidi na watu na vitu unavyovipenda. Jieleze na uunganishwe na watu katika matukio ya ubunifu.

• Tazama picha, video na hadithi kutoka kwa marafiki na waundaji unaowapenda.
Fuata marafiki zako, wasanii, chapa na waundaji unaowapenda kwenye Instagram ili kuona kile wanachoshiriki kwenye Mlisho wako. Jiunge kwenye mazungumzo na uone zaidi ya yale unayoyapenda unapopenda, kutoa maoni na kushiriki maudhui unayoyagundua.

• Gundua ubunifu na burudani isiyo na kikomo ukitumia Reels
Tazama na utayarishe burudani kwa urahisi, video zinazoburudisha kushiriki na marafiki au mtu yeyote kwenye Instagram. Unda video za klipu nyingi za hadi sekunde 90, na uwe mbunifu ukitumia matini ambayo ni rahisi kutumia, violezo na muziki. Pakia video kutoka kwenye kichanja chako, pia.

• Shiriki matukio yako ya kila siku ukitumia Hadithi
Ongeza picha na video kwenye hadithi yako ambayo hutoweka baada ya saa 24, na uzichangamshe kwa zana za ubunifu za kuburudisha. Tumia matini, muziki, vidokezo na GIF kusisimua hadithi yako. Fanya hadithi yako iwe ya kuwashirikisha marafiki na wafuasi wako kwa kuongeza Maswali au vibandiko vya Kura ya maoni

• Tumia marafiki zako ujumbe katika Moja kwa Moja
Anzisha mazungumzo kuhusu unachoona kwenye Reels, Mlisho na Hadithi. Tuma ujumbe kwa marafiki zako, shiriki machapisho kwa faragha na upokee taarifa za gumzo. Unganisha na marafiki licha ya mahali walipo ukitumia simu za video na za sauti.

• Tafuta na Uchunguze Instagram ili kupata mambo mengi unayoyapenda
Tazama zaidi kuhusu unachopendelea kwenye kichupo cha Utafutaji. Tafuta picha, vibiringo, akaunti za kuvutia na zaidi. Tafuta kwa maneno msingi ili kuchunguza mada na kupata maudhui na waundaji wanaohusiana na mapendeleo yako.

Kwa kubofya Sakinisha, unakubaliana na Masharti ya Matumizi (https://help.instagram.com/581066165581870/) na Sera ya Faragha (https://help.instagram.com/519522125107875/).
Ilisasishwa tarehe
22 Apr 2025

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
Taarifa binafsi na Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine12
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

3.8
Maoni 1.96M
Dieume c Emene
14 Novemba 2024
Upo sawa
Watu 58 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Mwombeki Jackson Rumanyika
17 Agosti 2024
Inafunguka kwa uharaka
Watu 103 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
Samwel Saimon
14 Agosti 2024
Samwlei saimoni
Watu 47 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?