Yapake maisha yako Rangi Takatifu (ya Kimungu).
Katika Habib, sote tumeshikana mikono ili kuwa na maisha bora chini ya kivuli cha Ahlul-Bayt. Habib ni jukwaa kwa ajili ya kila mtu.Toleo unalotazama ni toleo la yote-mahali-pamoja linalojumuisha huduma zote za Habib.
- Kwa mara ya kwanza katika lugha ya Kiswahili -
Huduma kuu ni kama zifuatazo:
Kurani pamoja na tafsiri kwa lugha ya Kiswahili + tafsiri ya mfumo wa kuandika (unukuzi) + sauti ya Qurani na wasomaji tofauti
Dua za Mafaatih zenye tafsiri ya Kiswahili + tafsiri ya mfumo wa kuandika (unukuzi) + sauti za dua za Mafaatih
Kalenda yenye minasaba ya Kiislamu na ya Kishia
Adhana na ukumbusho wa swala kulingana na nyakati za Kishia
Kitafuta Qiblah
Huseiniya: Mkusanyiko wa nyimbo za Kiislamu na Qaswida / Nawha (sauti na video).
Sheria na Hukumu za Kiislamu: Risala ya Ayatollah Khamenei, risala ya Ayatollah Sistani
Uwasilishaji wa kila siku wa mkusanyiko wa maudhui na mafundisho ya Kiislamu yanayotolewa na wasomi wa kidini pamoja na video na sauti za Jarida la Kiislamu.
Na hivi karibuni na huduma zingine nyingi
Endelea kuwa nasi...
Ilisasishwa tarehe
23 Apr 2025